
Faida za kiafya za kula korosho
- husaidia kuimarisha afya ya misuli na mishipa ya neva (mishipa ya fahamu)
- Hupunguza hatari ya kupata kisukari
- Husaidia matibabu ya saratani
- Husaidia katika utengenezwaji wa seli hai nyekundu za damu
- Huimarisha mfumo wa kinga
- Husaidia katika kuimarisha afya ya kinywa (meno ) na mifupa
- Hupunguza athari za maradhi ya anaemia yaani upungufu wa hewa ya oksijeni mwilini
- Hupunguza hatari ya kutengenezwa vijiwe kwenye kibofu