FAIDA ZA MATUNDA NA MBOGA

 

Huu ni ufupisho wa matunda na mboga na faida zake kiafya. Nimeandika haya kwa ufupi baada ya kupitia vitabu na tafiti mbalimbali na vyanzo vingine vya maarifa. Hivyo nimeamua kukufupishia tu. Ukitaka urefu wa haya Soma kitabu chetu cha matunda.Faida za kiafya za kula:-

 1. ASALI

 2. BAMIA

 3. MABOGA

 4. CHAI

 5. CHUNGWA NA CHENZA

 6. EMBE

 7. TUFAHA AU EPO

 8. FENESI

 9. FYULISI

 10. KABICHI

 11. KARANGA

 12. KAROTI

 13. KISAMVU

 14. KITUNGUU MAJI

 15. KITUNGUU THAUMU

 16. KOMAMANGA

 17. KOROSHO

 18. KUNAZI

 19. KUNGUMANGA

 20. NDIMU NA LIMAO

 21. MAGIMBI

 22. MAHARAGWE, KUNDE, MBAAZI, NJEGERE NA NJUGUMAWE

 23. MAHINDI

 24. MAINI

 25. MAYAI

 26. MAZIWA

 27. MBEGU ZA MABOGA

 28. MBEGU ZA MRONGE

 29. MBEGU ZA MAPAPAI

 30. MCHAICHAI

 31. MIHOGO

 32. MIWA

 33. MANANASI

 34. NAZI NA MADAFU

 35. NDIZI

 36. NYAMA

 37. NYANYA

 38. PALACHICHI

 39. PAPAI

 40. PENSHENI

 41. PERA

 42. PILIPILI

 43. SAMAKI

 44. SNENE, KUMBUKUMBI NA PANZI

 45. SPINACHI

 46. STAFELI

 47. TANGAWIZI

 48. TANGO

 49. TENDE

 50. TIKITI

 51. TOPETOPE

 52. UBUYU

 53. UKWAJU

 54. UYOGA

 55. VIAZI MBATATA

 56. VIAZI VITAMU

 57. ZABIBU

 58. ZAITUNI

 59. NJEGERE