
Faida za kula epo (tufaha)
- Tufaha lin virutubisho kama vitamini C, K, A, E, B1, B2 na B6. pia lina madini ya potassium.
- Husaidia katika kupunguza uzito wa ziada mwilino
- Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo
- Hupunguza athari za kisukari
- Husaidia kuzuia saratani
- Husaida kupambana na pumu
- Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya mifupa
- Hulinda tumbo dhidi ya majeraha kutokana na matumizi ya madawa
- Husaidia kuimarisha afya ya ubongo