Al-Arba’uwn An-Nawawiyyah hadithi ya 1: Nia


image



huu ni mwanzo wa kitabu hiki cha Matn arbaina Naway

عن أَمِيرِ المُؤمِنِينَ أَبي حَفْصٍ عُمَرَ بنِ الخطَّابِ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ : سَمِعْتُ رَسُولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ: ((إِنَّما الأَعْمَالُ بالنِّيَّاتِ وإنَّما لكُلِّ امْرِىءٍ ما نَوَى، فَمَنْ كانَتْ هِجْرَتُهُ إلى اللهِ ورَسُولِهِ فَهِجْرَتُهُ إلى اللهِ ورَسُولِهِ، ومَنْ كانَتْ هِجْرَتُهُ لِدُنْيا يُصِيبُها أو امْرأةٍ يَنْكِحُها فَهِجْرَتُهُ إلى ما هَاجَرَ إليه)). رَوَاهُ إِمَامَا الْمُحَدِّثِينَ أَبُو عَبْدِ اللهِ مُحَمَّدُ بنُ إِسْمَاعِيل بن إِبْرَاهِيم بن الْمُغِيرَة بن بَرْدِزبَه الْبُخَارِيُّ وَأَبُو الْحُسَيْنِ مُسْلِمٌ بنُ الْحَجَّاج بن مُسْلِم الْقُشَيْرِيُّ النَّيْسَابُورِيُّ   رحمهما الله  فِي "صَحِيحَيْهِمَا" اللذينِ هُمَا أَصَحُّ الْكُتُبِ الْمُصَنَّفَةِ.

 

Kutoka kwa Amiri wa Waumuni, Abu Hafs 'Umar Ibn Al Khattwaab (Radhwiya Allaahu 'anhu) ambaye amesema: Nilimsikia Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: “Hakika (kusihi kwa) ‘amali kunategemea niyyah, na kila mtu atapata kwa mujibu wa kile alichokinuia. Kwa hiyo ambaye hijrah yake ni kwa ajili ya Allaah na Rasuli Wake, basi hijrah yake ni kwa ajili ya Allaah na Rasuli Wake. Na ambaye hijrah yake ni kwa ajili ya manufaa ya kidunia au kwa ajili ya kumuoa mwanamke (fulani), basi hijrah yake ni kwa lile aliloliendea.”   

 

[Hadiyth hii imepokelewa na Maimaam wawili ‘Ulamaa wa Hadiyth, Abuu ‘Abdillaah Muhammad bin Ismaa’iyl bin Ibraahiym bin Al-Mughiyrah bin Bar-dizbah Al-Ju’fiyy Al-Bukhaariy, na Abul-Husayn Muslim bin Al-Hajjaaj bin Muslim Al-Qushayriyy An-Naysaaburiyy (Rahimahuma-Allaah) Wameipokea katika vitabu vyao ambavyo ndio Swahiyh katika vitabu vya Hadiyth vilivyosanifiwa] 



Imeandikwa na Rajabu Terehe 2023-09-06

RELATED POSTS

picture

AL-ARBA-UWN AN-NAWAWIYYAH HADITHI YA 5: KUJIEPUSHA NA UZUSHI KATIKA DINI

Hadithi hii inakataza kuzusha mambo ambayo hayapo katika dini
picture

AL-ARBAUWN AN-NAWAWIYYAH HADITHI YA 3: NGUZO ZA UISLAMU

Katika hadithi hii utakwenda kujifunza nguzo za uislamu
picture

AL-ARBA UWN AN-NAWAWIYYAH HADITHI YA 7: NASAHA KATIKA DINI

Post hii itakufundisha umuhimu wa nasaha katika dini
picture

JINSI YA KUTOA SALAMU KATIKA UISLAMU

MAkala hii itakwenda kukufundisha jinsi ya kutoa salamu kwenye uislamu
picture

AL-ARBAUWN AN-NAWAWIYYAH HADITHI YA 4: UUMBWAJI WA MWANADAMU

HAdithi hii itakufundisha namna ambavyo mwanadamu anapitia hatuwa mbalumbali tumboni mwa mama yake
picture

AL-ARBAUWN AN-NAWAWIYYAH HADITHI YA 6: UBAINIFU WA HALALI NA HARAMU

Post hii inakwenda kukupa tahadhari juu ya mambo ya halali na mambo ya haramu.
picture

AL-ARBAUWN AN-NAWAWIYYAH HADITHI YA 2: UJIO WA JIBRIL KWA MTUME (S.A.W)

Hii ni hadithi ya pili katika kitabu cha Arbain Nawawiy