10.UTARATIBU WA LISHE KWA VIJANA
Vijana
Vijana wanatakiwa wale sana vyakula vya kuupa mwili nguvu yaani vyakula vya wanga. Pia wale kwa wingi vyakula vyenye protini na madini ya chumvuchumvu kama kashiam (calcium), chuma na phosphorous.

Vijana wa kike wanatakiwa wale zaidi vyakula vyenye madini ya chuma kwa wingi ili waweze kuwa na damu ya kutosha hususan wakati wa vipindi vyao.