Hadithi Ya 39: Allaah Amewasamehe Umma Wake Kukosea Na Kusahau Kwa Ajili Yake ( Mtume صلى الله عليه وسلم )

الحديث التاسع والثلاثون

"إن الله تجاوز لي عن أمتي الخطأ والنسيان"

 عَن ابْنِ عَبَّاسِ رَضِيَ الله عَنْهُما: أن رَسُوَل اللهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ : ((إنَّ الله تَجاوَزَ لِي عَنْ أُمَّتي: الْخَطَأَ، والنِّسْياَنَ، وَمَا اسْتُكْرِهُوا عَلَيْهِ)).

حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ ابْنُ مَاجَهْ   وَالْبَيْهَقِيّ  وَغيرهما 


HADITHI YA  39 ALLAAH AMEWASAMEHE UMMA WAKE KUKOSEA NA KUSAHAU KWA AJILI YAKE ( MTUME صلى الله عليه  وسلم  )

 

Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas رضي الله عنهما  ambaye amesema kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم   kasema:

Allaah Amewasamehe kwa ajili yangu umma wangu kwa kukosea, kusahau, na yale wanayoyafanya kwa kulazimishwa kwa nguvu (ambayo hawana khiyari nayo).

Imesimuliwa na Ibn Maajah na Al-Bayhaqi