Unachukuwa funguo ulio nayo, unafungua kasanduku, ukiwa na shauku ya kukuta mapesa mengi lakini unakuta kuna karatasi moja tu
baada ya kuligeuza karatasi lile unakutana na ramani. Unawaza kuwa ramani hii ndiyo inanipeleka kwenye chumba cha siri.
kwa maelekezo ya ramani unaangalia upande wa kusimi kutoka kwenye muembe unagundua kuwa kanjia kalikopandwa maua pembeni
Kwa maelekezo ya ramani unatakiwa ufuate njia hiyo
Endelea