Unausogelea muembe, taratibu unachukuwa kigongo na kukirusha juu
Loo!!! maembe yanaanguka yakiwemo madogo na maua. Embe ulilokusudia kuliangusha halikuanguka.
Ghafla mwenye muembe anatokea akiwa amekasirika, akiwa ameshika panga, tayari kukushambulia kwa kuangusha maembe machanga na maua.
Mawazo mengi yanakujia kichani, hatimaye unaamua
Kimbia Kumuomba msamaha