Unaamua kuchana karatasi na kuanza kusoma ujumbe unaosomeka.....
.....!!!!! BABA YAKO YUPO MIKONONI MWETU, LETE PESA YATU KABLA YA MACHWEO YALEO
KUMBUKA...!!!!!!
KICHWA CHA BABA YAKO KI MIKONONI MWETU
BY MAFIA:-
NGARIMBO WA LUTENYE
Wakati umemaliza kusoma ujumbe huu... unahizi mwili kuzizima, mwili hauna nguvu na damu zinachuruzika mguuni
LOOOOoooo!!!!
Nyoka mwenye sumu amekung'ata
Unaanguka na kupteza maisha
GAME IS OVER