Ulipokuwa unatoka kwenye kichaka hili, kwa ghafla unakumbuka kitu flami.
sasa umekumbuka kuwa hii ni sehemu ambayo baba yako alikuleta siku tatu zilizopita, na akakueleza kuwa hapa ameficha
nyaraka muhimu....
Sasa unarudi kichakanani na kuamua kuendelea kulifukua shimo