SURA YA KWANZA

Unaamua kutafuta pembeni lamda kuna kitu utapata. Kwa bahati nzuri unagundua kuwa upo karibu na mzinga wa nyuki. Baada ya kuona mzinga ndipo unagundua kuwa una njaa sana. Unahisi pia una kiu sana. Unafikiria mambo kadhaa kuhusu uwepo wa nyukiunamaanisha kuwa
Huenda eneo hili lina maji ama kuna shamba jirani ama kuna maua na miti ya matinda karibu. Baada ya muda unaamua ku:

Lina asali     Tafuta maji