Unaamuwa kusubiri kuona kwa umakini nini wanagomea ndege hawa. Unagundua wanagombea kamfuko kadogo keusi. Kwa umakini moyo unakuenda mbio kwa furaha.
Unawaza kwa kuwa ndege hawa ni kunguru, na huwa wanaishi karibu na watu, bilashaka watakuwa wanagombea chakula. kwa bahati nzuri kunguru mmoja
anadondosha mfuko ule, unaukimbilia na kuchunguza kuna nini, unakuta kuna kiberiti na vipande viwili vya mkate.
kwa furaha unachukuwa mkate na kuanza kufuta michanga michanga. Kabla haujaanza kula unagunduwa ndani ya kfuko ule kulikuwa na kipakti kilichofunguliwa.
Unawaza kitakuwa ni cha hamira ama iliki. Ghafla kunguru mmoja anapapatika na kupoteza maisha. Unashikwa na butwaa, unaangalia mkate, huku njaa imekukamata.
unaamua ku: