SURA YA KWANZA

unaanza kufukua shimo, unakutana na bahasha. Chini ya bahasha kuna funguo. Unakumbuka sasa kuwa siku mbili kabla ya leo baba yako alikueleza kuwa kuna watu walimdhulumi, hivyo akachukuwa pesa zao na kuzificha. Unakumbuka pia funguo hizi ndio ambazo amekuelekeza sehemu alipoficha pesa hizo..

Kitu kingine unachokumbuka ni kuwa baba yako alishika barua, barua ambayo uliletewa lakini ilipotea bila ya wewe kuiona. Wakati unataka kusoma barua, unahisi kitu kibaridi kinapita shingoni kwako

LOo0000!!!! ni nyoka... Kwa ujasiri unaamua ku..

Pambana     Soma ujumbe