SURA YA KWANZA

Unaanza kufatilia kwa makini sauti ya mlio wa jogoo...
Bada ya kutafuta kwa muda wa dakika kama 21 unagundua kuna kichaka kipo umbali wa mita 30 kutoka ulipo...

Kwa ghafla unasikia sauti imetoka kwenye kichaka kilekile, kwa umakini unasogea na unaingia ndani ya kichaka. Unaangalia juu, chini na pembeni

Kwa mshangao unaona kuna michuruziko ya damu chini, unatumia mguu wako kuchakuwa kwenye damu, unahisi kuna kitu kigumu
unafukua tena unakuta ni kashimo ka zege. Sasa unaamua ku..

Toka kichakani     Fukua