Kwa kutumia kajikisu kadogo, Unapambana na linyoka, unapata majeraha kadhaa ya kudungwa na miiba.
hatimaye unauwa nyoka. Unaondoka na kisanduku lilichokuwa shimoni. Bila ha kujali n ini kimo, ama ni nini kimeandika kwenye ujumbe.
unatoka nje..
Umemaliza sura ya kwanza. Umeweza kupata kisanduku chenye siri zote. Endelea na hadithi hii sura ya pili
upate kujuwa
nini utafanya,
na je utaweza kuokoka???
Nini kilitokea?
na ni kwa nini uwe wewe???