SURA YA KWANZA

Karibu Neema, ni sauti ulioisikia ndani ya nafsi yako. Unageuka kulia na kushoto unaona kuna mti mnene pembeni.

Ghafla unasikia sauti ya simba na kwa mbali unaona miti inainama kanakwamba simba anakufata. Unaamua ku:-

Panda juu ya Mti     Kimbia