Unaamua kumpa kichogo simba na kuanza kuparamia mti. Unagundua mti ni mnene na unateleza. Unaamua kuanza kutimua mbi. ka bahatimbaya
mbio zako haziwezi kumshinda simba. Anakurukia na kukuuma vibaya shingoni. Giza nene linatawala machoni, unapoteza maisha.