SURA YA KWANZA

Kwa kutumia kakisu kako kadogo unakata miti miwili mikavu unayoijuwa kuwa inafaa. Unatoboa mti mmoja na unachonga mwingine. unakusanya vijani vikavi vingi vilivyo vilaini. Unaanza kupekecha kijiti kimoja kwenye tundu ya kingine.

baada ya kazi ngumu ya nusu saa hatimaye moto unawaka. Sasa unapata matumaini ya kula asali. Unarudi karibu na mzinga ule, kisha unaanza kukusanya mato vyema na makuni ya kutoa moshi.....

"AAANHAAAA!!!!! HAAA!!! HAA!!"

Unapiga mayo kwa uchovu. Unapumzika kidogo kisha unaamua ku....

Endelea...