SURA YA KWANZA

Unakusanya majani na magome ya miti. Pia unajaribu kuafuta miti yenye moshi mwingi ili uweze kulina asali. Kwa kutumia kiberiti ulicho nacho unaacha kukoka moto, jirani kidogo na mzinga wa nyuki.

Moto umekowa na moshi upo wa kutoka, unasogelea mzinga kwa taratiibu. Unapanda juu na kuanza kuchoma nyki. Wengi wanakufa na wengine wanakimbia. Baada ya kupambana kwa muda kidogo unahisi uchovu. hivyo unaamua ku..

pumzika     Endelea