SURA YA KWANZA

Unaendelea kutafuta maji bila mafanikio. Unaamua kutafuta mizizi inayotoa maji kama njia nyungine. Unakatoa kakisu kako ulikokafichaga Kisha unatafuta miti maalumu inayotambaa. Miti hii ni ya kijani na ninatambaasana. inaweza kutoa maji hata kujaza kidoo.

Ukiwa makini zaidi unaona kichaka kilichofunga zaidi, unaamua kuingia kwenye kichaka. Unaangalia saa yako ni saa 5:06 am. Ndani ya kichaka unapata mti uloutaka. Unakata kipande na kuanza kufyonza maji. "NI MAKAFU!!!!!!!" unakumbuka maneno ya babu, unajisemea hii ndio ldha yake.

unakata mti mwingine unakunya zaidi, unakata mti mwingine wa akiba. Kabla hujatoka hapa unagundua chini kuna alama ya damu. Unajaribu Kufukua unakuta kuna zege. Unaamua ku..

Toka kichakani     Fukua