SURA YA KWANZA

Unaamua kutafuta maji kwa muda. Unakumbuka kitu flani kuwa huwa una kajikisu kadogo unakotumia kukatia na kusafishia kucha huwa unakaweka kwenye sidiria yako. Unakatoa na unawaza mambo kadhaa, Kutafuta mizizi ya miti itoayo maji. Pia unawaka kutengeneza moto kwa kutumia vipande vya miti.

Unakumbuka kuwa ukiwa shuleni ulisoma habari hii ya kutengeneza moto kwa vipande vya miti "MWIMBOMBO NA MLINDI". Pia unakumbuka hadithi alokusimulia rafiki yako Huruma kuhusu babu yake alivyotengeneza moto. Sasa una mawzo mawili yanakinzana unachagua moja unaamua ku...

Tengeneza moto     Tafuta Maji