SURA YA KWANZA

Unaendelea kutafuta maji bila mafanikio. Unaamua kutafuta mizizi inayotoa maji kama njia nyungine. Unakatoa kakisu kako ulikokafichaga Kisha unatafuta miti maalumu inayotambaa. Miti hii ni ya kijani na ninatambaasana. inaweza kutoa maji hata kujaza kidoo.

Baada ya muda unapata miti hii unakata kipate na unaanza kunywa. Sasa maji unayo unaamua kurudi kwenye asali. unakuta asali yako imeshamalizwa na nyuki. Unaokota vipande vya malala na kumalizia. unaondoka na safari yako.

Endelea.....