ulipoanza kukimbia kwa ghafla unajikwaa na kuanguka. Unangalia nyuma hakuwa ni simba anakukimbiza bali alikuwa ni swala akimkimbia simba.
Unashusha pumzi nzito na kusimama. Hapa sasa unagunduwa kuwa una kiu kikubwa pamoja na njaa. kulia na kushoto unaangalia, unathubutu kuona nyuki.
Unawaza mambo mengi,
Huenda kuna matunda karibu ama dimbwi la maji ama mauwa mazuri. Unawaza kulina asali njaa inazidu kuku sumbuwa tumboni. Unagundua kuwa kuna asalikwenye mzinga.
Baada ya kuwaza sana unafikiria ku..