Ulipokuwa unaondoka, kwa ghafla unajikwaa kwenye kisiki, ukiwa unaugulia maumivu ukagundua eneo hili kama unalitambua vyema...
Unajaribu kukumbuka vyema.... AHHHNHA
Unatambuwa saa,,,, siku tatu zilizopita ulikuja na baba yako hapa. Unakiendea kichaka unachokifahamu vyema. Unachimba chnini na kukuta zege
NAAM!!!!! Unakumbuka sasa hapa mahala...