SURA YA KWANZA

Unafuta jasho kisha unajizatiti vyema, unaendelea kulina asali. Unafanikiwa kupata malala mawili ya asali. "HAYA YANANITOSHA" ni maneno ulojisemea moyoni. unashuka chini na kuenda kwenye moto wako. Unweka malala yeko na kukusanya majani mapana.

Kipolelpole unakamua asali yako. Unajiuliza maswali sasa ama ule asali kavu kavu bila maji ama utafute maji kwanza. baada ya kufikiri wazo hili kwa kina zaidi unaamua ku..

Kula asali     Tafuta maji