SURA YA KWANZA

Ukiwa una bumbuwazi kulina asali ama kusoma ujumbe. hatimaye unaamua kusoma barua na unakuta ujumbe Mzito...

"BARAKA!!!!!
NAAMINI UNATAMBUWA KUWA BABA YAKO NINAE MAEKA, NA NIMESHAKUPA MASAA 6 TOKA ASUBUHI

HAKIKISHA UNANILETEA KIASI CHA PESA MILIONI 245 TULIZO KUBALIANA.

KUMBUKA!!!!!!

KICHWA CHA BABA YAKO NI MALI YANGU PINDI MASAA HAYO YAKIISHA

BY MAFIA:- NGARIMBO WA LUTENYE


Ukiwa bado mikono inatetemeka kwa hasira, na umesahau kama kuna ndege wanapigana karibu na wewe. unakuja kupata Ufahamu tayari ndege wale wamepigana na wakawatimua nyuki, bila ya kujua unajikuta umezungukwa na nyuki na wanaanza kukuuma

Tayasi wameanza kuingia mdomoni napuani mavazi yako si lolote mbele ya nyuki. Giza nene mbele yako na unapoteza maisha.... GAME IS OVER

Rudi ukurasa mkuu