Ukiwa una bumbuwazi kukimbia ama kusoma barua. hatimaye unaamua kusoma barua na unakuta ujumbe Mzito...
"BARAKA!!!!!
NAAMINI UNATAMBUWA KUWA BABA YAKO NINAE MAEKA, NA NIMESHAKUPA MASAA 6 TOKA ASUBUHI
HAKIKISHA UNANILETEA KIASI CHA PESA MILIONI 245 TULIZO KUBALIANA.
KUMBUKA!!!!!!
KICHWA CHA BABA YAKO NI MALI YANGU PINDI MASAA HAYO YAKIISHA
BY MAFIA:-
NGARIMBO WA LUTENYE
Ukiwa bado mikono inatetemeka kwa hasira, na umesahau kama kuna simba anakuja. Unakuja kukumbuka simba
tayasi yupo karibu sana na wewe. Unajaribu kukimbia laini umesha chelewa, simba anakuuma vibaya shingoni. Giza jingi linatanda na unapoteza maisha
GAME IS OVER