SURA YA KWANZA

Unajaribu kujipapasa mifukoni lamda utapata kitu cha kukujulisha kilichokupata. Unaingiza mkono wa kulia kwenye mfuko washati. unakuta kuna kisu kidogo, unajaribu kupapasa mfuko wa shati unakuta kuna bahasha ya rangi ya kaki. Unajaribu kukumbuka chochote kuhusu bahasha . hakuna chochote unachokumbuka. Unajaribu ku..

fungua bahasha     Endelea