Kwa kutumia kakisu kadogo ulikonano unachana juu ya bahasha na kukuta ujumbe wenye mistari takriban minne. Mwandiko ulio mrefu na
mgumu kusomeka. Unaanza kujiweka sawa kusoma ujumbe. Ghafla sauti ya simba nyuma yako unaisikia. sauti inasidi pamoja na miti kulazwa
kanakwamba simba anakuja ulipo kwa kasi. unaamua ku..