Bila ya kujali mawazo yako, na maneno ya wazee unaamuwa kuifakamia asali ili kunusuru njaa yako. Hatimaye unaanza kushiba na asali nyingi
inamwagika chini. Tayasi sisimizi kutoka maeneo mbalimbali wanakusanyika kuja kulamba asali imwagikayo.
Wakati unamalizi asali uliyo nayo kwa ghafla tone zito la asali linakukwama. Linakwenda kuziba tundu ndogo za hewa. unajitahidi kukohoa
ili kutoa asalil ile, unajaribu kutazama kama una maji upate kunya.
LAAAAA!!!!!
Umekula asali bila maji ukiwa pekeako, sasa umekosa msaada asali imekupalia kwa muda mrefu, pumzi zimekata
baada ya dakika 4 za taabu, giza nene linafunika macho, povu jeupe linatoka.....
LO0ooooo!!!! umepoteza maisha
GAME IS OVER