Unawaza huna kitu cha kutumia ili ule asali. Unajichunguza unagunduwa kuwa umevaa suruali ndefu na jacket la mikono mirefu na lenye kofia ngimu.
Unajidundua ndani ya jacketi kuna kiziba pua ulichokitumia wakati unazibua choo. Hamu ya kula asali inakujia, unajiridhisha kuwa kwa mavazi uliyo nayo
nyuki hathubutu kukuuma.
Kabla hujafanya chochote unagundua kuwa kuna kitu kigumu kwenye kofia la la jacket. Unatowa unakuta ujumbe wenye mistari kama minne uloandikwa
kwa wino mwekundu. Wakati unataka kuusoma ghafla ndege wawili wanaopigana huku wanaelekea karibu na pale ulipo mbele ya mzinga. kwa umakini
unashikwa na butwaa kisha unaamua ku..