APPS ZA AFYANamna ya kuinstal Apps zetu utafuata njia zifuatazo.
1.Download APK kwenye link za hapo chini,
2.Fungua faili ulolidownload kwenye simu yako, kisha bofya faili hilo kisha bofya OK kukubali kuinstal fail.
3.Kama simu yako imezuiliwa kuingiza Apps nje ya gooogle playstore unatakiwa uende kwenye setting, kisha  weka tiki kwenye Allow unknown sources kisha endelea kuinstal Apps.
4.Baada ya hapo ingia kwenye Apps za simu yako utaikuta App yetu kwenye Apps zako
5.Ukishindwa wasiliana nami kwa 0620555380

             APP ZA AFYA:
Bofya link hapo chini kudownload
1.Dondoo 100 za Afya
2.Lishe bore
3.Afya
4.kitabu cha Afya