Kutana na TITU katika elimu ya Afya. TITU ni mshauri wetu katia mambo ya kiafya na pia ni muuzaji wa product za lishe pamoja na Afya, na kilimo. Kwa matatizo ya Afya kutana na TITU upate kusaidiwa.

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari