DARSA ZA TAJWID


Jifunze usomaji wa qurqn kwa hukmu zake. tajwid ni elimu ya kuisoma quran kwa kuchunga herufi na utamshwi wake. App hii inakupa kwa ufupi historia ya elimu hii na mifano yake pamoja na kukueleza kwa ufupi kanuni za Tajwid.

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari