Jifunze historia ya Uislamu, Mitume na Manabii. App hii imeandaliwa kwa lugha ya kiswahili kukupa kwa elimu juu
Historia ya uislamu yaani Tarekh. Maisha ya Mitume ni Maisha ya kuigwa kwani yana mambo mengi ya Kujifunza. Hapa tutakuletea
maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini.
Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu
Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari