HADITHI YA SINBAD


Ni hadithi ndefu iliyosheheni visa na mikasa aliyokutana nayo mfanya biashara SINBAD wa nchin BAGHADAD. Ni hadithi inayohuzunisha na kuonesha umahiri na ujasiri wa kijana huyu hasa katika kupambana na kukabiliana na matatizo mbalimbli. Busara, hekima na juhudi za SINBAD zimekuwa ni chachu ya mafanikio yake.

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari