Jifunze darsa mbalimbali za QURAN, na jifunze pia namna ya kuisoma QURAN yaani tajwid.
App hii inakupa mwangaza kuhusu Kitabu Kitukufu yaani QURAN. Hapa utaona fadhila za sura, sababu za kushuka, quran na sayansi
, Tajwid pamoja na mengi zaidi
Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini.
Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu
Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari