DAKTARI WA SIMU


Kama simu yako inakusumbua usiende kuiflash, kwanza tatua tatizo lako. App hii inakuletea changamoto za simu na namna ya kuzitatua ikiwemo virusi na simu kuwa nzito au kustak. Daktari wa simu ni App inayotumia lugha ya kiswahili katika kutatua matatizo ya kiteknolojia.

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari