MVUVI NA JINI


MVUVI na jini ni hadithi iliyosheheni umahiri wa wazungumzaji katika kupangilia matukio ili kuweza kujiokoa katika matatizo. Mvuvi anatumia simulizi kali kuweza kujikinga na shari za jini, Jini nae anatumia ufundi ulele ule. Je! ni yapi malipo ya mwenye kutenda wema?? Songa nayo sasa bureeeeeeee

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari