KITABU CHA MATUNDA


Zijue aina mbalimbali za matunda na faida zao. App hii imeandaliwa kwa ajili ya kukupa ellimu ya matunda pamoja na faida zao kiafya. Utatambua namna ya kuchagua matunda ya kuyala na rangi zao. App hii ni katika Apps unatakiwa uwenazo muda mwingi katika simu chako.

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari