Kutana na HD Hassan sukari ya mashairi. Hassan ni mtunzi mpya nia ni mughaniji wa mashairi ya kuburudisha na kulipia. Kutana nae sasa uweze kujifunza sanaa hii.
Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini.
Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu
Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari