AFYA NA LISHE


Ijue lishe bora na inavyohusiana na Afya yako. Tafiti zinaonesha kuwa karibia magonjwa mengi sugu chanzo kikuu ni vyakula na utaratibu wa maisha. App hii inakwenda kukupa mwangaza juu ya afya na afya ya lishe kwa lugha ya kiswahili.

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari