Ni kifo cha mto burudani wa Mfalme, ni kifo cha kusisimua kikiwa na wauaji zaidi ya watatu na kila mmoja anadai kuwa yeye ni muuaji halali. Hatimaye wanakuja kugundua siri nzito iliyopo katika ya kinyozi na mtu huyu. Sultani naamua kuandika hadithi hii kwa wino wa dhahabu .......... songa nayo sasa.
Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini.
Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu
Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari