KIAPO CHA SULTANI


Sultani baada ya kumuuwa mkewe kwa kumfumania akichepuka, dsasa anaahidi kutokumuamini mwanamke yeyote, sambamba na ahadi hii anaweka kiapo kizito sana, kiapo kilichotingisha nzhi nzima na hata nchi za majirani. Dinarzade ambaye ni Binti wa waziri, anaamuwa kujitolea kuvunja kiapo hiki......

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari