JINI NA MFANYABIASHARA


Ni hadithi inayomuhusu mfanyabiashara maarufu, anayekutana na Jini katika jangwa la majini. Anapokea ahadi nzito ya kifo ifikapo mwakani. Hatimaye wazee watatu wenye ya kuajabisha na kushangaza, kwa ndimi zao wanaamua kumnusuru mfanyabiashara. Hatiimaye jini anaambukia patupu. je! ni nini kilitokea? songanayo...

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari