DARSA ZA FUNGA


Ijue ibada ya Funga, sharti zake, nguzo zake na sunnah zake. Wajue waloruhusiwa kutofunga. Apps hii imeandaliwa kwa lugha ya kiswahili kukupatia elimu juu ya ibada nzima ya Funga.

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari