Pata Maswali mbalimbali ya NECTA kwa somo la Chemistry.
App hii imekusanya mazoezi na maswali ya mitihani.
Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini.
Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu
Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari