Zijue Dua muhimu 120 kwa lugha ya kiswahili. App hii imekusanya dua Muhimu 120 ambazo Muislamu
anatakiwa azitumie kila siku katika maisha yake. Dua za kuondoa wasiwasi, dua za swala, dua za wasiwasi,
swala ya Mtume na dua nyingi zaidi:-
Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini.
Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu
Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari