CHONGO WATATU WA BAGHADAD


Sultani Harun Rashid anajikuta yupo kwenye matatizo makubwa akiwa na chongo watatu ndani ya nyumba yenye wana wake watatu wa kustaajabisha ndani ya mji wa BAGHADAD. Kila mmoja analazimika kutaja hadithi yake ndio anusurike, hadithi za chongo hawa watatu inakuwa ndio tishio zaidi. Songa nayo hadithi hii sasa......

Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini. Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu

Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari