App hii imeandaliwa kukupa elimu ya Afya, nadharia za Afya, maradhi na elimu ya lishe. Hapa utapata mwangaza juu ya
maradhi sugu kama kisukari, saratani pamoja na maradhi ya moyo. Tutajifunza pia njia za kupambana na maradhi haya
na nman ay akuuweka mwili kiafya.
Kudownload App hii na kuinstall fata maelekezo ya hapo chini.
Namna ya kudownload na kuinstal App kutoka kwenye tovuti yetu
Download
1. Bofya kitufe cha kudounload hapo juu
2. Download faili
3. bofya faili ulilodaunlod
4. Kama litakataa kuinstall nenda kweda SETTING KIsha weka tiki au ruhudi kwenye UNKNOWN RESOURCES
5. Endelea kuinstall
6. Nenda kwenye App za simu yako uendelee kuvinjari